
Licha ya Uchambuzi mkubwa wa maswala ya Burudani ikiwemo muziki wa Bongo fleva na maisha ya mastaa kupitia kipindi cha Recap na Mando kinachoruka kupitia Bongo5 tv @el_mando_tz amefunguka kuhusu changamoto anazopitia ikiwemo meseji za vitisho kutoka kwa mastaa na wadau mbalimbali
Mbali na hilo El Mando ameeleza namna alivyoletewa vurugu na msanii Chino Wana Man hadi kumaliza tofauti iliyojitokeza
Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongo5
Written and edited by #abbrah255 Shot @johnbosco_mbanga
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!