Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

RAIS SAMIA APOKEA TUZO YA POWER OF 100 WOMEN AWARD KUTOKA ACCESS BANK GROUP

  • 36
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalum ya ‘Power of 100 Women Award kutoka kwa Uongozi wa Access Bank Group kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Access Tanzania Ndugu Protase Ishengoma Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Julai, 2025. Tuzo hii ambayo hutolewa kila baada ya miaka mitano inalenga kutambua na kusherehekea wanawake wa Kiafrika wanaotoa michango ya mageuzi kwa mataifa na jamii zao, kuhamasisha na kuhimiza kizazi kijacho cha viongozi Wanawake katika bara zima la Afrika. Pia kupaza sauti za Wanawake katika kuleta maendeleo endelevu ya Kiuchumi na kijamii barani Afrika.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Tuzo Maalum ya ‘Power of 100 Women Award mara baada ya kukabidhiwa Ikulu Jijini Dar es Salaam 08 Julai, 2025.

ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Access Tanzania Ndugu Protase Ishengoma pamoja na ujumbe aliombatana nao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Julai, 2025.



Prev Post Naibu Waziri Mahundi Aipongeza TTCL kwa Huduma Bora za Mawasiliano
Next Post BAADA YA DEAL LA MAKWENA KUSHINDIKANA….KOCHA MPYA YANGA HUYU HAPA…JAMAA NI MASTER..
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook