

Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania , Philip Besiimire ( Mwenye tisheti nyeupe), pamoja na Mkurugenzi wa Udhibiti wa Hatari na Utii wa Sheria Agapinus Tax,( wa kwanza kushoto) wakipewa maelekezo kuhusu televisheni janja (smart screen) inayotoa maelekezo kuhusu bidhaa mbalimbali zinazopatikana katika banda la kampuni hiyo lililoko katika viwanja vya sabasaba ambako maonesho ya 49 ya kimataifa ya Dar es Salaam yanaendelea shughuli za kuhamasisha wateja kwenye maonesho ya Sabasaba. Tukio Hilo limetokea leo , katika maadhimisho ya siku ya sabasaba jijini Dare es salaam.



The post Vodacom Yatumia Teknolojia ya Smart Screen Kutoa Elimu Sabasaba appeared first on SwahiliTimes.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!