
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaasa vijana kutoendekeza ulevi na kubet na kwamba Tanzania haiwezi kuwa taifa la vijana wanaowaza pombe na kubet muda wote.
Amewataka kuelekeza nguvu kwenye shughuli za maendeleo ambazo zitawakwamua wao na familia zao.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!