Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Shigongo: Tupo Tayari Kupambana Na Yeyote Atakayejaribu Kupotosha Maendeleo Ya Buchosa – Video

  • 74
Scroll Down To Discover

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema hawatamvumilia mtu yeyote ambaye anapotosha kuhusu maendeleo yaliyopatikana chini ya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Shigongo ameyasema hayo mbele ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Ally Kawaida aliyefika Jimbo la Buchosa kuzungumza na wananchi kwenye mkutano uliofanyika katika Kata ya Nyehuge, Buchosa.

Shigongo amesema mambo mengi na makubwa yamefanyika Buchosa chini ya Rais Samia na kwamba hawatamvumilia mtu yeyote atakayekwamisha au kupotosha kuhusu maendeleo hayo.



Prev Post Waziri Mkuu Majaliwa Aridhishwa na Maandalizi ya Mei Mosi Kitaifa Singida
Next Post Wafungwa naMahabusu Kusikiliza Kesi Kwa Mahakama Mtandao Ni Kwa Sababu za Kiusalama
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook