Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

RUKA JUU NA SUPERHELI, JISHINDIE SAMSUNG A25 MPYA….

  • 24
Scroll Down To Discover

Promosheni ya kibabe ya Superheli imekuja ndani ya Meridianbet mwezi huu Juni ambapo nafasi ya wewe kushinda ikiwa kubwa zaidi. Cheza Superheli sasa umiliki simu janja mpya kabisa aina ya Samsung A25.

Meridianbet katika kuhakikisha kuwa hawakuachi hivi hivi kipindi ambacho mechi za ligi mbalimbali zimeisha na zingine zinaendea kuisha wameamua kukuletea promosheni kali kabisa ya kupitia mchezo wa kasino wa Superheli, ambapo wateja wana nafasi ya kushinda simu mpya aina ya Samsung A25.

Meridianbet wameamua kukupatia fursa ya wewe kuondoka na Simu janja aina ya Samsung A25 mpya kabisa ndani ya mwezi huu wa 6 ambapo promsheni hii imeanza tarehe 1 na mwisho wake ni tarehe 30 mwezi huu.

Ili uweze kushiriki kwenye promosheni hii lazima uwe mteja ambaye umejisajili na Meridianbet kwenye tovuti na kwenye program za simu ambapo utachagua wewe ucheza Superheli kwenye nini. Au kama hujajisajili bado unatakiwa kufanya mara moja ili uwe moja ya washiriki na washindi.

Tofauti na promosheni hii ya Superheli  pia unaweza kupiga pesa kweye michezo mingine ya Kasino kama vile, Zombie Apocalypse, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao. Ingia kwenye akaunti yako na ucheze sasa.

Wakati promosheni ikiwa inaendelea basi wakali wa ubashiri wao wametenga siku ya Jumatatu kuwa ni siku ya kutoa zawadi mbili za simu kwa washindi ambao watakuwa wameshinda.

Je unajua ili ushinde simu hizo kwenye promsoheni hii ya Superheli unatakiwa kufanyaje? Siri ni kucheza mara nyingi kadri uwezavyo ndivyo ambavyo unajiweka kwenye nafasi nzuri kabisa ya kuondoka na Samsung A25.

Cheza mara nyingi ujiweke kwenye nafasi nzuri ya kuibuka na maokoto kwenye promosheni hii. Ingia Meridianbet lakini pia unaweza ukabashiri mechi za ligi za wanawake zinazoendelea kwenye tovuti ya Meridianbet. ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Jisajili na ubashiri hapa.

 

The post RUKA JUU NA SUPERHELI, JISHINDIE SAMSUNG A25 MPYA…. appeared first on Soka La Bongo.



Prev Post SHINDA SAMSUNG A25 UKICHEZA KASINO NA KUBASHIRI MECHI MBALIMBALI…
Next Post PSG, SPURS, CHELSEA. NI MSIMU WA WALE WALIOSUBIRI SANA….
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook