Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Wajumbe Wapya Wanne Wachaguliwa Kujiunga na Kamati Kuu ya CCM Taifa

  • 40
Scroll Down To Discover

Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), katika kikao chake maalum kilichofanyika Jumatano tarehe 28 Mei 2025, jijini Dodoma, imefanya uchaguzi wa Wajumbe wanne wa Kamati Kuu.

Wajumbe waliochaguliwa kuwa sehemu ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ni:
1. Namelock Edward Sokoine
2. Dkt. Juma Abdallah (Mabodi)
3. Salim Faraj Abri (Asas)
4. Hamad Hassan Chande

Hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA. Amos Gabriel Makalla.



Prev Post Bodi ya Ligi Yathibitisha Dabi ya Kariakoo Kuchezwa Juni 15, 2025 – Video
Next Post Jinsi Wa Kupata Mkopo Wa Benki Haraka Bila Mdhamini
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook