Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Abbas Tarimba Ahoji bungeni uhaba wa maji Kinondoni – Video

  • 17
Scroll Down To Discover


Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Abbas Tarimba amehoji bungeni leo kuhusiana na uhaba wa maji katika maeneo ya Makumbusho, Mwananyamala pamoja na Hananasifu jijini Dar es Salaam kuwa ni changamoto ya muda mrefu.

Sikiliza majibu ya Naibu Waziri wa Maji, Eng. Kundo Mathew hapa.

 



Prev Post Bunge Lachemka! Mbunge Akalishwa Chini Akihoji Upotevu Wa Fedha – Video
Next Post Oryx Yatoa Elimu ya Usafi wa Mazingira na Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa Wanafunzi
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook