Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Bunge Lachemka! Mbunge Akalishwa Chini Akihoji Upotevu Wa Fedha – Video

  • 30
Scroll Down To Discover

Mbunge Nusrat Hanje

Mbunge Nusrat Hanje amesimama bungeni na kuhoji kuhusu upotevu wa fedha kwenye makusanyo ya serikali kama unavyoripotiwa mara kwa mara kwenye ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Hata hivyo, Hanje alitakiwa kukaa kwa maelezo kwamba majibu yaliyotolewa na serikali kwa maandishi, yameshajibu swali hilo!



Prev Post Jinsi Viungo Vya Binadamu Vinavyouzwa Kwa Siri India, Mtanzania Awaonya Wanaoenda Huko – Video
Next Post Abbas Tarimba Ahoji bungeni uhaba wa maji Kinondoni – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook