Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 30 May 2025

  • 7
Scroll Down To Discover

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 30 May 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 30 May 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 30 May 2025

Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) limetoa taarifa kwa Waislamu na Wananchi wote kwa jumla kuwa Sikukuu ya Eid El-Adh’haa itakuwa siku ya Jumamosi June 07, 2025.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa BAKWATA, Alhaj Nuhu Jabiri Mruma, imesema kuwa sherehe za Eid El-Adh’ha kitaifa kwa mwaka huu zitafanyika Mkoa wa Dar es salaam na Swala ya Eid itaswaliwa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI BAKWATA Makao Makuu Kinondoni kuanzia saa 1.30 asubuhi na kufuatiwa na Baraza la Eid mara tu baada ya Swala.

“Kwa niaba ya Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dr. Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana anawatakia Waislamu na Wananchi wote maandalizi mema ya Sikukuu hiyo”

Katika hatua nyingine Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar imetangaza kuwa Sikukuu ya Eid Al-Adha itakuwa siku ya Jumamosi ya June 07,2025 sawa na Mwezi 10 dhul-hijjah 1446H ambapo Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume amesema swala na Baraza la Eid el Adh-haa mwaka huu vitafanyika Wilaya ya Kati, ambapo swala itasaliwa katika Msikiti wa Ijumaa Bambi saa 1:15 asubuhi, na Baraza la Eid litafanyika katika Viwanja vya Skuli ya Suza Tunguu Unguja.



Prev Post Matukio Mbalimbali Kutoka Katika Mkutano mkuu wa CCM Taifa Leo – Picha
Next Post Serikali Yaweka Mipango Ya Tathmini Chuo Kipya Ukerewe
Related Posts
© Image Copyrights Title

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 31 May 2025

© Image Copyrights Title

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 29 May 2025

Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook