Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

MIAKA 5 YA UONGOZI MADHIBUTI, UADILIFU, UNYEYEKEVU, MAONO NA MATOKEO MAKUBWA

  • 5
Scroll Down To Discover

Fullshangweblog Leo inatoa pongezi kubwa kwa Ruth Zaipuna, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kwanza Mtanzania wa Benki ya NMB, kwa kutimiza miaka mitano kama Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB.

Umekuwa muhimili Mkubwa kwenye sekta ya Benki nchini kupitia uwekezaji kwa watu, mageuzi ya kidijitali, utawala bora, miradi ya kijamii na kuongeza thamani ya benki sokoni.

Kila la Heri unapoanza safari nyingine ya mafanikio ndani ya Benki ya NMB.



Prev Post Miaka 28 Ya Benki Ya Exim Tanzania Safari Ya Ukuaji, Ubunifu Na Kusonga Mbele Pamoja Na Wewe 
Next Post Nafasi 129 za Ajira Serikalini
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook