Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Polisi Pwani Wakamata Watu 10 kwa Njama za Uhalifu Kibaha – Video

  • 3
Scroll Down To Discover

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia watu 10 kwa tuhuma za kupanga njama za kufanya uhalifu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Salim Morcase amesema watuhumiwa hao walikamatwa katika Ukumbi wa Mwitiongo, Maili Moja wilayani Kibaha, wakidaiwa kupanga njama za kutenda uhalifu.

Ameongeza kuwa jeshi hilo linaendelea kuwahoji na mara baada ya upelelezi kukamilika, hatua nyingine za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.



Prev Post CCM Yatangaza Rasmi Ratiba ya Vikao vya Uteuzi wa Wagombea Wabunge
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook