Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Furahia Promosheni ya Wild White Whale Ukiwa na Meridianbet

  • 29
Scroll Down To Discover

Meridianbet inakuletea promosheni kabambe kwa mwezi huu wa Julai kupitia mchezo wa kasino wa Wild White Whale. Hii ni nafasi ya kipekee kwa wapenzi wa sloti kuchukua faida ya mizunguko ya bure (Free Spins) bila masharti magumu.

Kuanzia tarehe 01 Julai hadi 31 Julai 2025, unaweza kujishindia Free Spins 50 kila unapokamilisha mizunguko 100 kwenye mchezo huu maalum, bila kujali kama umeshinda au la kwenye mizunguko yako ya awali.

Ili kushiriki, unahitaji kuwa mteja aliyejisajili Meridianbet. Mara tu unapocheza mizunguko 100 ya mchezo wa Wild White Whale kwa kutumia pesa uliyoweka kwenye akaunti, utapokea Free Spins 50 kama zawadi ya motisha. Hii ina maana kwamba hata kama bahati haikuwa upande wako wakati wa kucheza, bado unaendelea kufurahia mchezo kwa kutumia ya spins za bure.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Ni muhimu kufahamu kuwa ofa hii ni halali kwa mteja mmoja tu kwa kila anuani. Hii ni kwa ajili ya kuhakikisha uadilifu na kuepusha matumizi mabaya ya promosheni. Pia, Meridianbet inahifadhi haki ya kubadilisha au kusitisha promosheni hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali, kwa mujibu wa sera na masharti yake.

Kwa kujiunga na Meridianbet na kushiriki katika promosheni hii, unakubaliana na vigezo na masharti ya jumla yanayohusu usajili, uchezaji, kuweka na kutoa fedha kutoka kwenye akaunti yako.

Usikose fursa hii adimu. Ingia sasa meridianbet.co.tz au kwenye application kisha anza kucheza Wild White Whale, fikia mizunguko 100, na pata Free Spins 50 za kukupa nafasi zaidi ya kushinda. Bahati iko mikononi mwako, cheza kwa kujiamini huku ukipata ushindi murua kabisa.

 

 



Prev Post Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei Aonekana Hadharani Kwa Mara ya Kwanza Tangu Mzozo na Israel
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook