Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Balozi Nchimbi Ziarani Mkoa wa Simiyu

  • 19
Scroll Down To Discover

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na viongozi wa Chama na Serikali, wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Ndugu Masanja Michael Lushinge (smart) na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Ndugu Said Mtanda, mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza.

Dkt Nchimbi, alikuwa safarini kuelekea Mkoa wa Simiyu kwa ziara ya kikazi ambako anatarajiwa kushiriki kongamano la Chama Cha Wafugaji Tanzania (CCWT).

Akiwa uwanjani hapo, Balozi Nchimbi pia alikutana na kusalimiana na Mama Janeth Magufuli, mjane wa hayati Rais John Pombe Magufuli.



Prev Post Waziri Mkuu Atembelea Kituo Cha Malezi Ya Watoto, Sanganigwa, Kigoma
Next Post Wakali wa Technology Kutoka nchi Zaidi ya 17 Duniani Wakutana Dar
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook