
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 12 June 2025
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 12 June 2025
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imetupwa nje ya mashindano ya COSAFA licha ya kuibuka na ushindi ya mabao 2-1 dhidi ya Eswatini.
Ushindi wa Stars umeifanya kujikusanyia pointi tatu na kumaliza nafasi ya pili katika msimamo wa kundi C nyuma ya Madagascar yenye pointi nne.
Stars imeaga mashindano hayo baada ya kushindwa kumaliza kileleni mwa Msimamo wa kundi lake ambapo kila kundi inatoka timu moja inayoongoza kuingia katika hatua ya Nusu Fainali.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!