
Darstate Company Ltd ni kampuni inayoongoza kwa huduma za ukusanyaji wa madeni na uendeshaji wa minada ya hadhara nchini Tanzania. wanatoa huduma kwa wateja wa aina zote, ikiwemo mabenki, kampuni binafsi, wafanyabiashara, taasisi za ndani na nje ya nchi, pamoja na watu binafsi wenye changamoto za madeni yasiyokusanywa.
Huduma za Kukusanya Madeni:
Wanatoa huduma za ukusanyaji wa madeni ya aina zote kwa niaba ya wateja wetu. Hii inajumuisha madeni kutoka kwa wateja binafsi, taasisi, kampuni, na mabenki. Gharama zetu ni nafuu na hulipwa baada ya kazi kukamilika.
Huduma za Auctioneer:
Wanasaidia kuuza mali zilizowekwa dhamana au mali binafsi kupitia minada ya hadhara. Hii inajumuisha magari, nyumba, mashamba, bidhaa na mali nyinginezo kwa lengo la kuhakikisha wateja wanapata thamani stahiki kwa mali zao.
Ofisi: Tegeta, Nyuki House, Ground Floor, Ofisi Namba 6
Wasiliana Nasi:
Simu: +255 792 363 242Barua pepe: director@darstate.co.tz
Instagram: @DarstateCompanyLtd
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!