Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

TLS Yakutana Na Kufanya Mazungumzo Na Jaji Mkuu Wa Mahakama Ya Tanzania

  • 1
Scroll Down To Discover

Viongozi wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Septemba 19, 2025, wamefanya mazungumzo na Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. George Masaju katika ofisi yake, Makao Makuu ya Mahakama, Dodoma.

Mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha ushirikiano baina ya Mahakama na TLS katika masuala ya kisheria na maendeleo ya haki nchini.



Prev Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 20, 2025
Next Post Binti wa Rais Paul Biya Aomba Umma Wasimpigie Kura Baba Yake
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook