
Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo (CCM), ameshiriki pamoja na wananchi wa Kata ya Kalebezo katika mazishi ya marehemu Hamis, aliyefariki dunia kutokana na ajali ya pikipiki.
Mazishi hayo yalifanyika Kitongoji cha Mizozoro, Kijiji cha Magulukenda, Kata ya Kalebezo, Halmashauri ya Buchosa, Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Mwanza.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!