Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Lulu Diva Afunguka Kuhusu Tuhuma za Kutoka na Ex wa Mobetto

  • 4
Scroll Down To Discover

Staa wa muziki na filamu Bongo, Lulu Diva @luludivatz amefungukia tuhuma za kutoka kimapenzi na aliyekuwa X wa Hamisa Mobetto, Kelvin Sowax kabla hajaolewa.

Lulu Diva amesema ni kweli alikuwa na uhusiano na mwanaume huyo lakini wakati wanaanza, alikuwa tayari ameshaachana na Hamisa Mobetto na kueleza kwamba hakuna tatizo kutoka na mtu aliyewahi kuwa na uhusiano na mtu mwingine kisha wakaachana.



Prev Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 12, 2025
Next Post Makamu wa Rais Riek Machar Ashtakiwa kwa Ugaidi na Uhaini
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook