Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Wananchi Kome Wampokea Shigongo Kwa Shangwe, Aahidi Mshikamano

  • 14
Scroll Down To Discover

Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, amepokelewa kwa hamasa kubwa na wakazi wa Kisiwa cha Kome mara baada ya kuwasili kisiwani hapo.

Ziara hiyo imefuata baada ya mchakato wa kura za maoni ndani ya CCM kukamilika, ambapo Shigongo aliteuliwa tena kugombea kiti cha ubunge kwa muhula wa pili.

Akiwa kisiwani, Shigongo alisisitiza umuhimu wa kuvunja makundi yaliyokuwa yamejitokeza wakati wa kura za maoni, akiwataka wanachama na wananchi kuungana kwa mshikamano ili kuendeleza maendeleo ya jimbo hilo.

 

 



Prev Post Video: Rostam avunja ukimya kuhusu ununuzi wa mgodi wa Mwadui
Next Post Mgombea mwenza wa CCM, Dkt. Nchimbi, apiga kambi Kagera kusaka kura za kishindo
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook