Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Shigongo Aongoza Kura za Maoni Buchosa, Tizeba Aambulia Kata Chache

  • 40
Scroll Down To Discover

Aliyekuwa Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo

Katika mchuano mkali wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Buchosa, wimbi jipya la siasa limemshuhudia aliyekuwa Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo akiongoza kata nyingi dhidi ya aliyewahi kuwa Waziri wa Kilimo na Mbunge, Dkt. Charles Tizeba.

Matokeo ya Kata kwa Kata (Yaliyotangazwa):

  1. Bupandwa – Shigongo: 430 | Tizeba: 32

  2. Katwe – Shigongo: 362 | Tizeba: 73

  3. Bangwe – Shigongo: 312 | Tizeba: 76

  4. Nyehunge – Shigongo: 550 | Tizeba: 150

  5. Luharanyonga – Shigongo: 184 | Tizeba: 141

  6. Kalebezo – Shigongo: 632 | Tizeba: 118

  7. Kafunzo – Shigongo: 334 | Tizeba: 133

  8. Maisome (Kisiwa) – Shigongo: 217 | Tizeba: 150

  9. Iligamba – Shigongo: 420 | Tizeba: 20

  10. Kasisa – Shigongo: 187 | Tizeba: 260

  11. Nyakarilo – Shigongo: 393 | Tizeba: 19

  12. Nyakasasa (Kisiwa) – Shigongo: 125 | Tizeba: 351

  13. Nyakasungwa – Shigongo: 180 | Tizeba: 202

  14. Buhama (Kwao Tizeba) – Shigongo: 94 | Tizeba: 300

  15. Bukokwa – Shigongo: 372 | Tizeba: 162

  16. Lugata (Kwao Tizeba)Uchaguzi utarudiwa (vurugu)

  17. IlenzaUchaguzi utarudiwa (vurugu)

  18. Bulyaheke – Shigongo: 600 | Tizeba: 400

  19. Nyanzenda – Shigongo: 513 | Tizeba: 306

  20. Bugoro – Shigongo: 173 | Tizeba: 102

  21. KazunzuUchaguzi utarudiwa



Prev Post Kikei Aangushwa Vunjo, Enock Koola Aibuka Kidedea, Orodha ya Wabunge Walioshinda kura za maoni CCM – Video
Next Post Kada Chipukizi Neto Kapalata Amshinda Kigwangalla Kura za Maoni Nzega Vijijini
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook