
NAFASI za Kazi DP World
NAFASI za Kazi DP World
DP World ni watoa huduma katika masuala ya usafirishaji na usuluhishi wa biashara Duniani kote.
DP World hutoa ajira Kila mara ikiwa ni sehemu ya kuendelea kwa kampuni hiyo ya upanuzi na uwekezaji katika miundombinu ya bandari na usafirishaji nchini Tanzania, hususani kupitia shughuli zake katika Bandari ya Dar es Salaam.
DP World Tanzania inatafuta watu wenye nia, ari, umahiri na ubunifu kujaza nafasi Mbalimbali zilizotangazwa hapa chini Katika Tangazo hili.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka DP World Tanzania.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!