Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mpenzi wangu kila mwezi ananipa milioni 1.5 ya matumizi ila nina wasiwasi

  • 7
Scroll Down To Discover

Jina langu ni Aisha, nina umri wa miaka 23. Kwa bahati au majaliwa, nimejikuta kwenye mahusiano na mwanaume Amani, mwenye umri wa miaka 43. Amani ana nafasi kubwa kitaifa, lakini kazi zake nyingi zipo nje ya nchi.

Kwa upande wa maisha, Amani amekuwa msaada mkubwa kwangu. Amenipa mtaji wa shilingi milioni kumi, na kila huduma ninayohitaji, ananiwezesha. Kwa mwezi pekee, hutumia si chini ya milioni 1.5 kwa ajili yangu.

Hata hivyo, changamoto iliyoibuka ni kwamba, baada ya muda, nimekuja kugundua kuwa Amani tayari ana mke.

Mke wake anaishi hapa Dar es Salaam. Nilipogundua hilo, moyo wangu uliniuma sana, nikamwambia tuachane.

SOMA ZAIDI



Prev Post Kuelekea Siku Ya Kuzuia Kujiua Duniani Dkt. Kimambo Azindua Kliniki Mahsusi Ya Afya Ya Akili Kwa Wafanyakazi Muhimbili 
Next Post Nilichekwa Kwa Kutupa Kila Kitu Kwenye Betting, Lakini Siri Niliyopata Imenigeuza Milionea
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook