Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Dkt. Samia Aingia Mbeya Kwa Kishindo, Maelfu Wajitokeza Mbalizi (Picha +Video)

  • 4
Scroll Down To Discover

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 4, amewasili wilayani Mbalizi, mkoa wa Mbeya, na kupokelewa kwa shangwe na maelfu ya wananchi.

Wananchi wakiwa na nyuso za furaha, nyimbo na nderemo walijitokeza kwa wingi katika Uwanja wa Mlima Reli kumlaki na kumsikiliza kiongozi huyo anayeendelea na mikutano yake ya kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Ziara hii ni sehemu ya muendelezo wa kampeni zake za kitaifa, ambapo Rais Dkt. Samia anaendelea kuwasilisha Ilani ya CCM na kueleza dira ya maendeleo ya miaka mitano ijayo kwa wananchi wa Mbeya na maeneo jirani.



Prev Post Boti ya Kifahari Yazama Dakika 15 Baada ya Uzinduzi
Next Post Ukraine Yapinga Pendekezo la Putin la Mkutano Moscow
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook