Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Kiwanja Kinauzwa – Bagamoyo, Kaole Magambani

  • 6
Scroll Down To Discover

Kiwanja kipo Bagamoyo, Kaole Magambani (Nyuma ya Bagamoyo Secondary School) katika eneo tulivu na salama.

  • Umbali wa mita 500 kutoka barabara ya lami

  • Umbali wa mita 500 pekee kutoka ufukweni mwa bahari

📏 Ukubwa na Sifa

  • Eneo lina ukubwa wa 848 sqm (limepimwa rasmi)

  • Tambarare, linafaa kwa ujenzi wa makazi au biashara

  • Ardhi ya kichanga, rahisi kuchimba na kujenga

  • Vipimo vya mipaka (pembeni) vimepimwa vizuri – hakina kona tata

💰 Bei

  • Tsh Milioni 20 (maongezi yapo kulingana na makubaliano)

📞 Mawasiliano
Kwa maelezo zaidi au kutembelea eneo, wasiliana nasi kupitia:
Call / WhatsApp: +255 795 303 038



Prev Post Marekani Yaituhumu Urusi, China na Korea Kaskazini Kupanga Njama
Next Post Boti ya Kifahari Yazama Dakika 15 Baada ya Uzinduzi
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook