Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA RAIS WA SHIRIKA LA FEDHA NA UJENZI LA KOREA (K-FINCO)

  • 57
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirika la Fedha na ujenzi la Korea (Korea Infrastructure Finance Corporation)(K-FINCO) Dkt. Eun-Jae Lee aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 26 Julai, 2025.



Prev Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JULAI 27, 2025
Next Post Miaka 25 ya Vodacom: Kuadhimisha Uunganishwaji Kidijitali
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook