Serikali ya Tanzania inatuhumiwa na makundi mbalimbali ya watetezi wa haki za binadamu kwa kuwakandamiza wapinzani na wakosoaji, japo serikali ya taifa hilo la Afrika Mashariki inakanusha hilo. Baadhi ya wanaharakati wameendelea kushinikiza mamlaka kutatua tatizo la watu kupotea. Baadhi ya ndugu na jamaa ya waliodaiwa kutekwa wanatafuta majibu ya walipo wapendwa wao.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!