Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Balozi Dkt. Nchimbi Aagana na Simiyu, Asepa Shinyanga Kusaka Kura za Ushindi CCM

  • 6
Scroll Down To Discover

Wananchi wa Mji Mdogo wa Lalago,Maswa Mashariki wilayani Maswa wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi wakati akiwahutubia kwenye mkutano mdogo wa hadhara leo Jumatano Septemba 3,2025,wakati akimalizia mkutano wake wa mwisho wa Kampeni mkoani Simiyu.

Katika mkutano huo wa kampeni,Balozi Dk.Emmanuel Nchimbi aliwanadi Wabunge wa Mkoa huo akiwemo Mgombea Ubunge wa Jimbo la Maswa Mashariki,Dkt.George Vernance Lugomela na Mbunge wa Jimbo la Maswa Magharibi,Mashimba Mashauri Ndaki pamoja na madiwani .

Pamoja na mambo mengine Balozi Dkt.Emmeanuel Nchimbi amekuwa akiinadi Ilani ya Uchaguzi Mkuu 2025-2030,ambayo kimsingi imelenga kwenda kuboresha maisha ya wananchi na ustawi wa Maendeleo katika miaka mitano ijayo huku akitumia nafasi hiyo kuwaomba wananchi kumchagua mgombea Urais wa CCM Rais Dk.Samia Suluhu,Mgombea mwenza wa Urais,wabunge na madiwani wa Chama hicho.







Prev Post Waziri Mkuu Awataka Madereva Wa Serikali Kufanyakazi Kwa Weledi
Next Post "Tumewatafuta lakini bado hatujui walipo". Katika Dira ya Dunia TV
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook