
Wakati wengi wakihesabu saa kuelekea wikendi ya mapumziko kila ifikapo ijumaa, kwa mashabiki wa michezo ya namba, hii ni fursa ya kipekee ya kugeuza siku ya mwisho ya kazi kuwa mwanzo wa furaha na matumaini. Meridianbet, jukwaa linaloaminika kwa michezo ya kubashiri, linakuletea promosheni yenye ladha ya ushindi iitwayo Lucky Friday, Ijumaa ya bahati isiyo ya kawaida.
Umecheza Lucky 6 au Keno lakini mambo hayaendi kama ulivyotarajia? Usijali, Meridianbet wamesema hakuna hasara isiyo na thamani. Kupitia Lucky Friday, kila Ijumaa unayocheza michezo hiyo kwa dau la kuanzia TZS 500, unakuwa kwenye nafasi ya kipekee ya kupata 10% cashback kila Jumamosi kutokana na kiasi ulichopoteza. Hii ni pesa taslimu inayowekwa moja kwa moja kwenye akaunti yako. Ndiyo, hakuna mizunguko wala masharti ya ziada, ni pesa yako, na ni kwa ajili ya wewe kuendelea kufurahia mchezo.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Kama umewahi kuhisi kuwa siku ya bahati imekuchelewa, basi Lucky Friday inafuta fikra hizo. Meridianbet inakupa hadi TZS 25,000 kama bonasi ya wiki, kiasi kinachoweza kukuwezesha kurudi mchezoni kwa kasi mpya. Hii ina maana kwamba hata kama umejaribu mara nyingi bila mafanikio, bado kuna faraja kubwa inayokusubiri kila mwisho wa wiki.
Meridianbet, kama ilivyo kawaida yao, wameweka wazi kuwa ili kufaidika na promosheni hii, tiketi yako ya Ijumaa lazima iwe imelipiwa kwa pesa taslimu na si kwa bonasi. Na kwa nia ya kuhakikisha kuwa kila mchezaji anacheza kwa haki, kampuni imejihakikishia haki ya kusitisha au kubadili masharti ya Lucky Friday iwapo kutatokea udanganyifu, matumizi mabaya ya sheria, au changamoto za kiufundi.
Sio kila kupoteza kunakatisha tamaa, na sio kila tiketi isiyoshinda inapaswa kusahaulika. Lucky Friday inakufundisha kuwa bado kuna zawadi ndani ya kushindwa, na hii inajidhihirisha kwa zawadi hii unayopewa siku ya jumamosi.
Jiunge na Meridianbet leo kwa kuingia kwenye tovuti au tumia app ya simu, cheza Lucky 6 na Keno kila Ijumaa, na fanya mwisho wa wiki yako kuwa mwanzo wa ushindi.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!