Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Dkt. Samia Kuendelea na Kampeni za CCM Leo Mkoani Songwe

  • 9
Scroll Down To Discover

Wananchi na wakereketwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamejitokeza kwa wingi kuonesha imani yao kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kampeni zinazoendelea kote nchini.

Leo, Septemba 3, 2025, Dkt. Samia anatarajiwa kufanya mkutano mkubwa wa kampeni katika Mkoa wa Songwe, ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa kampeni za CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

Ziara hiyo inatarajiwa kukusanya maelfu ya wananchi na wafuasi wa chama hicho, huku viongozi mbalimbali wa kitaifa na kikanda wakihamasisha mshikamano na mshikikano wa kisiasa kwa ajili ya ushindi wa CCM katika ngazi zote.



Prev Post Balozi Nchimbi: Meatu itaendelea kushuhudia maendeleo chini ya Dkt. Samia
Next Post Burkina Faso yapitisha sheria kali dhidi ya uhusiano wa jinsia moja
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook