Hii si ya kukosa kwa wewe mdau wa kasino mtandaoni, Meridianbet Tanzania imezindua qualifiers za Festival Malta 2025, tukio la poker ambalo hupimwa na jukwaa la Playtech Poker. Qualifiers zitauwasha moto kutoka Julai 14 hadi Septemba 8, 2025, huku zikiwa zinafanyika kila siku kupitia satellites, na main tournaments zikiwa kila Jumanne, Ijumaa, Jumapili.
Ushindi unakupeleka moja kwa moja kwenye Main Event (Sept. 15–21) huko Portomaso Casino, Malta, ikijumuisha tiketi (TZS 1.67 milioni), malazi kwa usiku 6–7, pesa ziada TZS 758,778, pamoja na bonus ya TZS 750,000 ndani ya masaa 72.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Dau la kushiriki qualifier ni kuanzia TZS 750 hadi 300,000 tu. Mfumo wa qualifiers unakuwezesha kurudi na kuunda faida tena. Ikiwa utashinda siku ya kwanza, unaweza kucheza tena siku ya pili ukiwa na stack kubwa zaidi.
Hebu tukuelezee masharti; package moja kwa mshindi mmoja huku gharama za visa na usafiri ni juu yako mwenyewe. Meridianbet inachukua hatua za kufuta matokeo katika hali ya udanganyifu au matatizo ya mfumo.
Muda wa qualifiers utafikia tamati Septemba 8 na baada ya hapo Malta itakaribisha washindi wake kwenye sherehe yenye shughuli zaidi ya 50 za poker, kasino, burudani, na uzoefu wa maisha ya wenyeji wa Malta.
Jiunge sasa, uwe miongoni mwa wachezaji wanaoingia kwenye safari tamu zaidi na yenye uwezo wa kurekodi historia yako kwenye mchezo wa poker.
The post POKER YA KIMATAIFA: JIUNGE NA MERIDIANBET KWA FESTIVAL MALTA 2025… appeared first on Soka La Bongo.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!