Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

DCEA YAFANYA UTEKETEZAJI WA DAWA ZA KULEVYA AINA YA MIRUNGI JIJINI ARUSHA

  • 32
Scroll Down To Discover

Na Prisca Libaga Arusha
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini kwa niaba ya Kamishna Jenerali tarehe 13.09.2024 imeteketeza kwa mujibu wa sheria vielelezo vya dawa za kulevya aina ya mirungi kilogramu 23.74 zilizokamatwa katika operesheni zilizotekelezwa hivi karibuni. Uteketezaji wa vielelezo hivyo ulifanyika katika dampo la Murieti jijini Arusha. 
Zoezi hilo limeshuhudiwa na wawakilishi kutoka Mahakama ya Wilaya Arusha, Ofisi ya Mwendesha Mashitaka Arusha, Ofisi ya Mkemia Mkuu Arusha kulingana na Matakwa ya Sheria ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya. 



Prev Post MAPINDUZI YA NISHATI: “UMEME VIJIJINI NA MCHANGO WAKE KATIKA MAENDELEO MKOA WA PWANI
Next Post AFRIKA YAITATHMINI ICC KIMY KIMYA
Related Posts
© Image Copyrights Title

HUYU NDO KIONGOZI WA TLS

© Image Copyrights Title

MTATIRO NA KILEO WACHAMBUA URAIS TLS

Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook