Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

KUBWA KUTOKA MERIDIANBET, SIMU KALI KWA KUCHEZA SUPER HELI…

  • 35
Scroll Down To Discover

Meridianbet inakupa nafasi ya kipekee ya kubadili burudani kuwa ushindi kupitia promosheni yao mpya ya Super Heli, ambapo unaweza kuibuka na zawadi kabambe ya simu mpya na ya kisasa aina ya Samsung A25.

Kuanzia tarehe 1 hadi 30 Juni, Meridianbet inawazawadia washiriki wawili kila Jumatatu simu hizi maridadi, kwa kushiriki tu kwenye mchezo wa Super Heli, moja ya michezo ya kasino ya mtandaoni inayosisimua zaidi sokoni. Mchezo huu si wa kawaida, bali ni fursa ya pekee ya kujiongezea kipato kwa kutumia burudani yenye msisimko.

Jinsi ya kushiriki ni rahisi kabisa. Unafungua akaunti yako Meridianbet kwa kujisajili, kisha shiriki mchezo wa Super Heli kwa kuweka dau lolote. Kila dau linalowekwa linakupeleka hatua moja karibu na ushindi. Tumia uwezo wako, cheza kwa tahadhari, na acha bahati ichukue mkondo wake na zawadi inaweza kuwa yako.

NB; Ukiwa na akaunti ya Meridianbet, hauishii tu kwenye Super Heli. Unaweza pia kufurahia michezo mingi ya kasino ya mtandaoni pamoja na kubashiri mechi za kimataifa zenye ODDS KUBWA, njia nyingine ya kuongeza mapato yako kirahisi. Piga *149*10# au tembelea meridianbet.co.tz na uanze safari yako ya ushindi.

Super Heli ni zaidi ya mchezo. Ni tukio lenye msisimko kwani kadri ndege inavyopaa juu, ndivyo odds zinavyopanda, na kwa kila sekunde unayodumu angani, dau lako linazidi kuongezeka. Super Heli ni hatua ya juu zaidi ya michezo ya kasino mtandaoni ikikupa muda mrefu wa kupaa na nafasi kubwa zaidi ya ushindi mkubwa.

Usipoteze muda, cheza Super Heli, na huenda simu ya kisasa ya Samsung A25 ikawa yako. Wapo washindi kila wiki, na zawadi nyingine kibao zinawasubiri walioko tayari kuchukua hatua.

The post KUBWA KUTOKA MERIDIANBET, SIMU KALI KWA KUCHEZA SUPER HELI… appeared first on Soka La Bongo.



Prev Post GG&3+ KWA JUVENTUS VS MAN CITY INAKUPA MZIGO MARA 2
Next Post Nilikuwa Sina Pesa Lakini Baada ya Hirizi Hii Maisha Yangu Yalianza Kubadilika Haraka   
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook