Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Maelfu Wajitokeza Kumsikiliza Mgombea wa CCM Morogoro (Picha +Video)

  • 37
Scroll Down To Discover

Maelfu ya wananchi wamejitokeza kuhudhuria mkutano wa hadhara wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika viwanja vya Tumbaku, mkoani Morogoro, tarehe 29 Agosti 2025.

Mkutano huo ulihudhuriwa na viongozi wakuu wa chama, wafuasi na wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa huo, ambapo kulikuwa na shamrashamra, nyimbo za kampeni na mabango ya kuhamasisha kura.



Prev Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO AGOSTI 30, 2025
Next Post ACT Wazalendo Wamvua Uanachama Monalisa Ndala Baada ya Mvutano wa Uteuzi wa Urais
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook