

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Juni 18, 2025 ameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Amali ya Mwamapalala, iliyoko Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu.
Rais Dkt. Samia ameweka jiwe hilo la msingi kwa niaba ya shule zote 103 za Sekondari za Amali zinazojengwa nchi nzima.

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!