Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

MERIDIANBET WAJA NA SAMSUNG A25 UKICHEZA SUPER HELI..

  • 36
Scroll Down To Discover

Meridianbet imekuja na ofa bab kubwa kwa wachezaji na wapenzi wa mchezo wa kasino za mtandaoni. Sasa unaweza kujishindia simu mpya kabisa ya Samsung A25 kwa kushiriki mchezo wa kusisimua wa Super Heli. Mchezo huu umevutia wachezaji wengi kwa kasi yake ya kutoa ushindi na umaarufu wake mjini. Cheza sasa kupitia Meridianbet na uwe mshindi.

Kuanzia Juni 1 hadi Juni 30, Meridianbet itakuwa ikigawa simu mbili za Samsung A25 kila Jumatatu kwa washiriki wa mchezo huo waliojisajili kupitia Meridianbet. Hii ni nafasi yako ya kupata simu ya kisasa na pia kuongeza kipato chako kupitia mchezo huu wa kasino kwani mbali na kujishindia simu, bado utakua ukivuna pesa kila unapocheza maana Super Heli unakupa ushindi wa uhakika.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Mchezo wa Super Heli unajulikana kwa aina yake ya ndege yenye sifa ya kusafiri umbali mrefu bila kuanguka. Kadiri ndege inavyopaa, ndivyo odds zinavyoongezeka, na hii inakupa nafasi ya kukusanya pesa nyingi. Unaweza kubeti kuanzia kiwango chochote cha pesa ulichonacho, na hata kwa kiasi hicho kidogo, unaweza kujipatia utajiri mkubwa.

Jisajili sasa na Meridianbet, cheza Super Heli, na uwe miongoni mwa washindi wa simu za Samsung A25. Usikose fursa hii ya kuwa bingwa na kujishindia zawadi za kisasa kutoka Meridianbet.

The post MERIDIANBET WAJA NA SAMSUNG A25 UKICHEZA SUPER HELI.. appeared first on Soka La Bongo.



Prev Post PATA BONASI YA UKARIBISHO UKIWEKA PESA MARA YA KWANZA….
Next Post PESA YA BURE IPO MERIDIANBET NA MECHI ZA CWC…
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook