Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

SHINDA SAMSUNG A25 UKICHEZA KASINO NA KUBASHIRI MECHI MBALIMBALI…

  • 29
Scroll Down To Discover

Meridianbet wamekuja na fursa ya kipekee kwa wapenzi wa michezo ya mtandaoni ambayo ni promosheni ya Jisajili, Weka Pesa, Cheza na Ushinde” ambapo hapa mchezaji anatakiwa abashiri mechi zozote na michezo ya Kasino.

Promosheni hii imeanza Juni 01 na kikomo chake itakuwa ni tarehe 30 Juni ambapo mchezaji anatakiwa awe amejisajili, aweke pesa na abashiri sport pamoja na michezo yoyote ya Kasino apendayo ajiweke kwenye nafasi ya kujishindia Samsung A25 mpya kabisa.

Ndani ya siku hizi siku 26 pekee unaweza ukawa moja ya washindi ambao wataondoka na simu yako janja bure kabisa kwani kwa dau lako lolote ambalo utakuwa unaweka na kucheza ndilo litakalokufanya uibuke bingwa kwa sasa.

Unachotakiwa kufanya ni kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet mara moja na kuanza kucheza michezo yako yoyote ya Kasino kwani hakuna kikomo cha michezo ya kucheza, na kwenye kubashiri pia ni mechi za mpira wa miguu na zingine nyingi ambazo utataka kubashiri, kikapu, tennis nk.

Meridianbet imekuletea promosheni nyingine ya kujisajili, kuweka pesa na kucheza kasino au Sport ili ushinde Samsung A25. Vilevile  unaweza kupiga pesa kweye michezo mingine ya Kasino kama vile, Zombie Apocalypse, Keno, Poker, Roullette,, na mingine kibao. Ingia kwenye akaunti yako na ucheze sasa.

Ili kujiweka kwenye nafasi ya ushindi, Jambo ni moja tuu, cheza mara nyingi Kasino na Sport ujiweke kwenye nafasi ya kuwa mshindi hapa. Kwenye Kasino michezo mizuri ipo mingi sana kuna Aviator, Superheli, Zombie Apocalypse, Roulette, Keno na mingine mingi.

Meridianbet inasisitiza kuwa tiketi za turbo Cash hazitahesabiwa kwenye promosheni hii, yaani kama umesuka jamvi lako halafu ukacash out pesa hiyo tiketi yako haiwezi kuhesabiwa kwenye tiketi za washindi hivyo inabidi usubiri mpaka mechi ulizobeti zote ziishe.

Samsung A25 zipo nyingi na zipo kwaajili yako, usipitwe na ofa hii ndani ya mwezi Juni kwani Meridianbet ipo kwaajili ya kuhakikisha huondoki Kapa. Jisajili na weka dau lako uanze kushindania simu sasa. Huenda leo ikawa ndio bahati yako.

The post SHINDA SAMSUNG A25 UKICHEZA KASINO NA KUBASHIRI MECHI MBALIMBALI… appeared first on Soka La Bongo.



Prev Post MINI POWER ROULETTE INAKULIPA USHINDI MKUBWA….MZIGO UKO MERIDIANBET…
Next Post RUKA JUU NA SUPERHELI, JISHINDIE SAMSUNG A25 MPYA….
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook