Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

ACT-Wazalendo Yapinga Uteuzi wa Mpina Kutenguliwa na Msajili

  • 5
Scroll Down To Discover

Chama cha ACT-Wazalendo kimesema haitafuata maelekezo ya Msajili wa Vyama vya Siasa ambayo yamebatilisha uteuzi wa Luhaga Mpina kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho.

Kwa mujibu wa chama hicho, Msajili hana mamlaka ya kuingilia mchakato wa kuteuliwa mgombea wa urais isipokuwa kupitia hatua ya pingamizi, na hatua ya kutengua uteuzi huo haiwezi kutumika moja kwa moja.

ACT-Wazalendo imesema itachukua hatua ya kisheria kwa kufungua kesi Mahakama Kuu kupinga uamuzi huo na kuweka zuio dhidi ya utekelezwaji wa uamuzi wa Msajili.

 



Prev Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO AGOSTI 27, 2025
Next Post Puma Energy Tanzania Yashauri SOEs Kuboresha Utendaji Na Huduma
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook