Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Aweka Jiwe La Msingi Makao Makuu Ya Chama Cha Mapinduzi – (Picha +Video)

  • 5
Scroll Down To Discover


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la Msingi jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiweka jiwe la msingi, kuashiria kuzindua rasmi ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya CCM, katika hafla iliyofanyika eneo la Tambuka reli, jijini Dodoma, litakapojengwa jengo hilo.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Maelfu ya Wananchi pamoja na Viongozi wa CCM mara baada ya kuweka jiwe la msingi, kuashiria kuzindua rasmi ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya CCM, katika hafla iliyofanyika eneo la Tambuka reli, jijini Dodoma, litakapojengwa jengo hilo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Makao Makuu ya CCM, leo Mei 28, 2025 katika eneo la Tambuka reli, jijini Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg Stephen Wasira akizungumza katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Makao Makuu ya CCM, leo Mei 28, 2025 katika eneo la Tambuka reli, jijini Dodoma.
Viongozi Mbalimbali na Wanachama wa CCM wakiwa katika Viwanja Vya Tambuka reli, jijini Dodoma, ambapo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameweka jiwe la msingi, kuashiria kuzindua rasmi ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya CCM, Leo Mei 28, 2025.

 



Prev Post Wakala wa Biashara na Leseni (BRELA) imeweka kambi ya kutoa huduma ya Kliniki ya Biashara kwa wafanyabiashara wa Kariakoo.
Next Post Rais Samia Aweka Jiwe La Msingi Makao Makuu Ya Chama Cha Mapinduzi – (Picha +Video)
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook