
Rais wa Kenya, William Ruto amewaomba radhi Watanzania na kueleza kwamba kama kuna jambo Wakenya wamekosewa, wasamehewe.
Pia amewaomba radhi wananchi wa Uganda kama kuna jambo ambalo wamewakosea na kueleza kuwa Kenya inataka kuwa na uhusiano imara na majirani zake.
Kauli hiyo inakuja katika kipindi ambacho kumekuwa na mvutano mkubwa hususan kwenye mitandao ya kijamii, kufuatia wanaharakati kutoka Kenya kuzuiwa kuingia nchini.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!