Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Nmb Yadhamini na Kushiriki Kikao Cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji wakuu wa Taasisi za Umma

  • 2
Scroll Down To Discover

Benki ya NMB imedhamini na kushiriki kwenye Kikao kazi cha wenyeviti wa Bodi na watendaji wakuu wa taasisi za umma (CEOs Forum 2025) kinachoendelea katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano Arusha (Arusha International Conference Centre).

Ujumbe wa NMB umeongozwa na David Nchimbi – Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi pamoja na Juma Kimori – Afisa Mkuu wa Fedha na Kaimu Afisa Mtendaji mkuu.

Kikao kazi hicho cha Siku tatu kinawashirikisha Viongozi zaidi ya Mia Sita Hamsini kutoka Taasisi, Mashirika na Wakala wa Serikali. Kauli mbiu ya Kikao hicho ni “Kujenga Ushirikiano Endelevu katika Mazingira ya Ushindani wa Kimataifa – Wajibu wa Mashirika ya Umma.



Prev Post Wekundu wa Msimbazi Wasogeza Tarehe ya Hafla ya Jezi Mpya
Next Post NAFASI Za Kazi Sinoray Motorcycle
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook