Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mganga Mfawidhi Akimbizwa Hospitali Baada ya Ajali ya Kushtua – Video

  • 2
Scroll Down To Discover

Mganga Mfawidhi wa Wilaya ya Arusha, Saidi Salimu, amepata ajali ya gari akiwa na gari yake ndogo aina ya Benz lenye namba za usajili T782 EHP katika Barabara ya East Africa, maeneo ya Karavati, baada ya kugongwa na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T224 BRS ambalo lilipata hitilafu ya breki.

Kwa mujibu wa mashuhuda, mganga huyo aliokolewa akiwa amevunjika miguu yote miwili baada ya kubanwa ndani ya gari, na mara moja alikimbizwa katika Kituo cha Afya Murieti kwa matibabu.




Prev Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO AGOSTI 25, 2025
Next Post Nafasi 42 za Ajira Serikalini
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook