Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

FEI TOTO KUREJEA JANGWANI…YANGA TUMBO JOTO…MASTAA MATATANI

  • 38
Scroll Down To Discover

Yao kouassi, maarufu kama jeshi alianza kupona lakini inaelezwa amepata majanga mengine eneo alioumia linaweza
kukaa njee kwa muda zaidi.

Yanga ina subiri repoti ya madaktari wa klabu ilikufahamu mchezaji huyo atakua nje kwa muda gani, lakini nyuma yake kuna hesabu mpya zina pigwa juu ya beki mmoja wakazi kutoka Tp mazembe DRCongo.

Endapo yao atashindwa kurudi licha ya kuonekana amacheza mpira mazoezini, Yanga ita mshusha beki Ibrahim Keita,raia wa Mauritania.

Mbali na Keita wapo nyota wengine kwenye rada za yanga Josaphet Auther kutoka (Singida black stars), Koimizo Maiga ( Asec meimosa, Douh Steve (Ken Gold) na Feisal Salum (Azam).

Pale Tp mazembe Keita amesha waaga maboss wa club ya team hiyo na kuwa gomea kuongeza mkataba ambao una malizika mwezi ujao huku yanga ma Kaizer chiefs inayo fundishwa na Nabi zikiwa zina mvizia huduma yake kwajili ya msimu ujao

The post FEI TOTO KUREJEA JANGWANI…YANGA TUMBO JOTO…MASTAA MATATANI appeared first on Soka La Bongo.



Prev Post BD Yalamba udhamini wa Mil 639.5 wa betPawa
Next Post Meridianbet Yazindua “Gates of Olympia”, Sloti ya Kipekee ya Kifalme yenye Ushindi Mkubwa!
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook