Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Amtembelea Dr. Mabodi Hospitalini Dodoma

  • 17
Scroll Down To Discover

Dodoma, Agosti 22, 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemtembelea Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Zanzibar na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dkt. Abdallah Juma Sadala (Mabodi), aliyelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma.

Ziara hiyo ililenga kumjulia hali kiongozi huyo wakati akiendelea kupatiwa matibabu hospitalini hapo.

 



Prev Post Taifa Stars Yaaga Chan 2024 Baada Ya Kupigwa Na Morocco
Next Post Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Kesi ya Kupinga Uteuzi wa Rais Samia
Related Posts
© Image Copyrights Title

Wawili Wauawa Kwa Kuchomwa Moto Songwe

Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook