Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Makubaliano ya Trump ya Ukraine na Urusi yanasambaratika? Katika Dira ya Dunia TV

  • 2
Scroll Down To Discover

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema kuwa nchi yake itaanza tena mashambulizi dhidi ya viwanda vya kusafisha mafuta vya Urusi. Aidha amesema Moscow imeshindwa kuheshimu makubaliano yaliyotangazwa na Donald Trump siku ya Jumapili kuhusu kutoshambulia miundombinu ya nishati. Takriban watu sita wameuawa katika mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine usiku wa kuamkia leo. Eneo la kati la Kirovohrad lilikumbwa na mashambulizi mabaya zaidi tangu kuanza kwa vita - shambulio hilo lilihusisha ndege 360 zisizo na rubani na lilidumu kwa saa 10 - kwa mujibu wa mamlaka za mitaa na mashirika ya kutoa huduma za dharura. #zelensky #trump #putin #bbcswahili #bbcdirayadunia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 16/ 10 /2026
Next Post Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 15/ 10 /2026
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook