Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Makamu Wa Rais Nchimbi Amtembelea Rais Mstaafu Kikwete (Picha +Video)

  • 11
Scroll Down To Discover

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisaliana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika makazi yake, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 10 Agosti 2026.

DAR ES SALAAM: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Agosti 10, 2026, amemtembelea na kumjulia hali Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.

Balozi Dkt. Nchimbi amefanya ziara hiyo katika makazi ya Dkt. Kikwete yaliyopo Kawe, jijini Dar es Salaam.

Ziara hiyo ni sehemu ya shughuli za Makamu wa Rais katika kuendelea kuwasiliana na viongozi wastaafu na kujua hali zao.

The post Makamu Wa Rais Nchimbi Amtembelea Rais Mstaafu Kikwete (Picha +Video) appeared first on Global Publishers.



Prev Post Mshindi wa Ngao Kuamuliwa Jumatano Ndani ya Dakika 90
Next Post Viongozi Wa Chadema, TLS Na ACT Wafika Mahakamani Kufuatilia Kesi Ya Lissu – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook