Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mama Wema Awaonya Wazushi wa Mtoto wa Mwanaye “Acheni Kumwandama Mwanangu” – Video

  • 10
Scroll Down To Discover

Mama mzazi wa staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu, amefunguka kuhusu tuhuma zinazoenezwa mitandaoni zinazodai kuwa mtoto wa mwanaye si wa kwake.

Akizungumza katika mahojiano maalum na Global TV kupitia mwandishi Imelda Mtema, mama huyo alieleza kusikitishwa na madai hayo, akiwataka wanaoendelea kusambaza taarifa hizo kuacha mara moja.

Amesema kuendelea kueneza taarifa ambazo hazijathibitishwa kunamuumiza mwanaye na familia kwa ujumla, huku akionya kuwa endapo tabia hiyo itaendelea, yuko tayari kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wahusika.

Mama huyo amesisitiza kuwa ni muhimu watu kuheshimu faragha ya familia na kuacha kusambaza taarifa ambazo zinaweza kuathiri utu na heshima ya wengine.

The post Mama Wema Awaonya Wazushi wa Mtoto wa Mwanaye “Acheni Kumwandama Mwanangu” – Video appeared first on Global Publishers.



Prev Post Fahamu Maajabu ya Lexus LX 600, SUV ya Kifahari Yenye Bei ya Mamilioni – Video
Next Post Depú Akaribia Kuachana na Yanga? Petro de Luanda Yajitokeza
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook