Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Nyumba ya Mwijaku Yazua Mjadala, Global TV Yafika Eneo la Tukio, Mlinzi na Mjumbe Wafunguka – Video

  • 14
Scroll Down To Discover



Taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa nyumba ya msanii na mtangazaji Mwijaku imezungushiwa utepe zimeibua mjadala mkubwa miongoni mwa wananchi.

Kufuatia taarifa hizo, Global TV imefika katika eneo la tukio ili kujionea hali halisi na kufanya mazungumzo na wakazi pamoja na watu mbalimbali waliokuwepo eneo hilo.

Kupitia mahojiano hayo, Global TV imekusanya maoni na taarifa kutoka kwa mashuhuda ili kubaini ukweli wa kilichotokea, huku ikifuatilia kwa karibu chanzo na sababu za tukio hilo lililozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii.

The post Nyumba ya Mwijaku Yazua Mjadala, Global TV Yafika Eneo la Tukio, Mlinzi na Mjumbe Wafunguka – Video appeared first on Global Publishers.



Prev Post Picha za Zuchu Akiwa Mjamzito Zatikisa Mitandao, Diamond Avunja Ukimya – (Picha +Video)
Next Post Simba Yaaga Kagame, Yaondolewa Kabla Ya Kumaliza Hatua Ya Makundi
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook