
Dkt Jerecki ndiye muanzilishi wa mchezo wa Roulette ambapo yeye binafsi alikuwa akifikakwenye jumba la kasino majokeri wenzake wanamkimbia kwa kuogopa kupunwa pesazao. Jamaa alifariki akiwa na miaka 80 na kwa namna ya kipekee mchango wake kwenyeulimwengu wa michezo ya Kamari anakumbukwa.
American Roulette sawa na michezo mingine ya Roulette unapatikana Meridianbet kwenyekasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma Microgaming kwa kushirikiana na Switch Studios, wachezaji na wadau wa kasino ya mtandaoni wanathamini urahisi na ufanisi wa mchezohuu wa roulette.
Kitu pekee kinacho tofautisha American roulette na michezo mengine ya roulette kutoka kasinoya mtandaoni ni uwepo wa namba mbili za sufuri (00) kwenye gurudumu.
American roulette inajumuisha gurudumu la roulette, mpira, na ubao wa mchezo. Moja yafaida kubwa ya American roulette ni rahisi kucheza. Lengo la mchezo huu ni kutabirinamba au kundi la namba ambazo mpira utaangukia.
Mchezo huu wa kasino ya mtandaoni ni mchezo wa RNG (Random Number Generator), ikimaanisha hakuna mchezeshaji laivu. Mchezo unabadilika kwa urahisi kati ya ubao wa kuwekadau na kuonyesha gurudumu linalozunguka.
Lakini pia American Roulette una (00) tofauti na Roulette nyingine zenye sifuri moja, kigine niuwepo wa namba 38 badala ya 37. Kuna namba thelathini na sita za kawaida, zilizopambwa kwarangi nyekundu na nyeusi, pamoja na sufuri mbili. Sufuri moja ni kijani, na nyingine ni sufurimbili kijani.
HATUA KWA HATUA MPAKA USHINDI.
Unapoanza kucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni unapaswa kuchagua sarafuunayotaka kutumia kutoka kwenye safu na uiweke kwenye ubao. Pia kuna kitufe cha race trackkinachopatikana kusaidia dau za majirani.
Mbali na kipengele cha kucheza moja kwa moja, American Roulette hukumbuka dau lako la mwisho. Kwa hivyo, ikiwa unataka kubeti muunganiko ule ule, bonyeza kitufe cha spin.American Roulette unatoa ukurasa wa takwimu ambapo unaweza kuona data za kurasa 100 zilizopita.
Kando na kitufe cha Spin, utaona kitufe cha Clear Bets, kinachoruhusu kufuta dau lako la awalina kuanza upya. Ikiwa hauko tayari kufuta dau, lakini ungependa kucheza spin inayofuata na dauzilizopo kutoka mchezo uliopita, bonyeza tu kitufe cha redo.
Mchezo huu pia una kitufe cha X2 Double, ambacho kinadondosha dau lako mara mbili kwakubonyeza tu. Kushinda mchezo, unaweza kuweka Inside Bets au Outside Bets, pamoja nakubeti namba jirani.
Ingia mchezoni uonje raha na utamu wa roulette hii pendwa inayopatikana Meridianbet kasinoya mtandaoni kupitia www.meridianbet.co.tz
NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya burekucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza. Piakama sio mpenzi wa kasino unaweza kubashiri soka kwa odds kubwa na machaguo kibao. Bonyeza hapa.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!