Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Israel Yaharibu Ndege 16 za Iran Kwenye Uwanja wa Ndege wa Tehran

  • 31
Scroll Down To Discover

Israel imefanya shambulio la anga lililolenga Uwanja wa Ndege wa Mehrabad, Tehran, na kuharibu ndege 16 za Iran, ikiwemo ndege za Quds Force zinazohusika na operesheni za kijeshi nje ya mipaka ya Iran, pamoja na ndege kadhaa za kivita, imesema Jeshi la Israel (IDF).

Taarifa kutoka IDF ilisema kuwa shambulio hili lilikuwa sahihi na limezingatia kupunguza madhara kwa raia, huku picha zikionyesha mlipuko mkubwa na moshi ukiinuka kwenye uwanja wa ndege usiku kucha.

IDF iliongeza kuwa shambulio lililolenga miundombinu ya kijeshi katika uwanja wa ndege huu ulilenga kupunguza uwezo wa Iran kuendesha mashambulizi na kuunga mkono makundi ya kigaidi katika Mashariki ya Kati.

USIPOELEWA KUHUSU IRAN na MAREKANI HAPA – BASI HUWEZI KUELEWA TENA – SAID AMEMALIZA KILA KITU..

The post Israel Yaharibu Ndege 16 za Iran Kwenye Uwanja wa Ndege wa Tehran appeared first on Global Publishers.



Prev Post YANGA WAJIPANGE, KARIAKOO DABI SIMBA HAWANA MASIHARA
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO MACHI 08, 2026
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook